Super_Grego
Member
- Jan 31, 2012
- 27
- 18
Asante na Karibu Sana.Hongereni sana
Hatuna bei ya laki Tisa, fika ujionee usikubali kuhadithiwa.Hata kama ni wa ngozi asilia ndo unauza laki tisa hapana kwa kweli bei kubwa mno!
Hampo serious nyie, yaani mtu atoke huko Mbinga Ruvuma mpaka Dar posta kuja kuulizia bei ya mkoba?Hatuna bei ya laki Tisa, fika ujionee usikubali kuhadithiwa.
Ambae hayupo serious ni Sisi au ni anaetokea Ruvuma? Sijaelewa hapo.hampo serious nyie , yani mtu atoke huko Mbinga Ruvuma mpaka Dar posta kuja kuulizia bei ya mkoba ?
Ambae hayupo serious ni Sisi au ni anaetokea Ruvuma? Sijaelewa hapo.
Ngoja nikusaidie kidogo hapa....Ambae hayupo serious ni Sisi au ni anaetokea Ruvuma? Sijaelewa hapo.
Hapo nimekuelewa mkuu, mwanzo nilikua sijakuelewa.Ngoja nikusaidie kidogo hapa....
1. Weka mawasiliano yenu.
2. Weka bei za kila bidhaa ikiwezekana.
3. Punguza hasira Jf ni uwanja wa fujo, tycoons, fogos, jobless, loneliness, desperate and ect
Kubwa kwako mkuu, mbona watu wananunua mpaka Earphone bei hiyoHata kama ni wa ngozi asilia ndo unauza laki tisa hapana kwa kweli bei kubwa mno!
Ungeweka tu bei binafsi nimevutiwa na bidhaaHapo nimekuelewa mkuu, mwanzo nilikua sijakuelewa.
fayfashiontz.kyte.site au Application yetu iliopo Google play store Kwa Jina la Fay Fashion Tanzania, ina bei, mawasiliano na bidhaa zetu ktk categories vizuri kurahisisha kuperuzi.
Pia Instagram na Facebook.
Dohhhh..... Hatariiizzzz. For the niche market.... Wateja wake wapo😜🤣😭Hata kama ni wa ngozi asilia ndo unauza laki tisa hapana kwa kweli bei kubwa mno!
Mkuu tafuta mtu akutangazie biashara yako,WEWE HUWEZI...humu umekuja kupoteza wateja sio kutafuta,HUJUI KUTANGAZA.Ambae hayupo serious ni Sisi au ni anaetokea Ruvuma? Sijaelewa hapo.
Leather halafu unasema ngozi halisi..... Tuondoke na lipi? [emoji23]Karibuni Sana Fay Fashion Tanzania yenye Duka lake Jengo la NHC House Mtaa Samora, Dar es Salaam, Kwa bidhaa Bora kabisa za Ngozi halisi zilizotengenezwa Tanzania. View attachment 2500120View attachment 2500121View attachment 2500122View attachment 2500124View attachment 2500123View attachment 2500125View attachment 2500131View attachment 2500130View attachment 2500132
Nadhani hapa JF watu wanaghairi kuweka bei kwa sababu kuna watu kazi yao ni kukatisha watu tamaa tu. Super_Grego hongeni kwa ujasiriamali mnaoufanya. Naombea mfanikiwe mpate soko hata nje ya nchi. Tanzania tuna ngozi nyingi lakini tunakimbilia kuziuza nje badala ya kutengeneza bidhaa zetu. Nikiona mtanzania anajitahidi namna hii huwa naona furaha sana.hampo serious nyie , yani mtu atoke huko Mbinga Ruvuma mpaka Dar posta kuja kuulizia bei ya mkoba ?