Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Editor atakuwa amekosea lugha ila ujumbe umefika.
Duu! Mwanakijiji bana...yeye kila mtu anamjua na ni rafiki yake wa karibu! Sijui kuna mbunge gani....naye ni rafiki yake.....kila kona ya dunia yeye kafika kuanzia Brazil hadi Karachi...But hey...hata mimi Mwanakijiji ni rafiki yangu...I can claim that now....can't I?
Mugo"The Great";104901 said:"Ameniambia through a correspondence "I am the editor who wrote that. Thank you for exercising ur right of opinion." So, nasubiri majibu yao au ndiyo imekuwa "opinion" huwa haijibiwi".
At least sasa wanajua kuwa sio wao tu wenye kwenye ku-analyze mambo(tena in a bias way). Wakaribishe jambo forum kwenye ngome kuu ya Hoja.
mzee kumjua mtu na kuwa na urafiki na mtu ni vitu viwili tofauti. Nawajua watu wengi lakini ni wachache rafiki zangu. Ninaposema rafiki nina maana somebody ambaye naweza kumuaminia aniangalizie shemeji yako mdogo...
Nyani, my friends wanajua mimi na nani na wakitaka kuweka hadharani wataweka which mean hawakuwa marafiki zangu. Ninaowaita rafiki ni watu ambao hata tukigombana hatutukananiani mama zetu, hatuanzi kuhesabu makosa, na zaidi ya yote hatuumbuani. Ndiyo maana nimesema rafiki zangu ni wachache; wengine wamo humu tunagongana kila siku. Urafiki washinda undugu.