Mara ngap wametoa misaada kwa wasiojiweza? Au kila hela yao inatakiwa iende huko? Je mfano unajua pesa zake zinazid kuwa nying kwa mbinu gan? Je kama hiyo ni moja ya mbinu ya kuleta mara dufu ya ile aliyonunulia gari? Then zikishajiongeza ndio awape hao wasiojiweza? Biashara ni kichwaniMisifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
Mark X mnyamaGari aina ya aina gani
Mkuu hela ama Mali zako kuna yeyote anayekupangia matumizi yake?, acha roho chungu pesa watafute wao ww uwapangie jinsi ya kuzitumia Inamake sense kweli, hili tatiz sijui litaisha Lin tz watu hawafanyi kaz kwa bidii, juhudi na maarifa wanabaki kulilia misaada tena wanaona kama haki yao ya msingiMisifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
Misifa ya kijinga ndio inayowafanya wawe kwenye peak kila siku.Misifa ya kipumbavu hela waliyo nunulia hilo gari wangetoa msaada kwa wasio jiweza ingekuwa poa sana lakini maamuzi ni yao!
hyo nayo Gar? hako ka usafirMark X mnyama
Unawaza kama mimi...Dunia Uwanja wa Fujo
Nitaenda niwahi walau screpa naweza rudisha kiingilio....
Sitashangaa kusikia watu wakililia gari kama vile walichangia kulinunua.
Kibiashara poa kisheria je? Wasije msumbua kama Sare za jeshi kipindi kile....
Hongera Almasi
Fact..... wameanza na gari wataenda mpaka watu!!!
Stunt za kawaida sana... watu wanachoma moto mpaka pesa...