Lebo ya WCB kuchoma gari moto!!?!

Makafara ya mwisho wa mwaka hayo .... na mtakuja kuniambia hapa leo lazima afe mtu au watu pale jangwani see breeze , mungu ninusuru na hizi pesa za mashetani
 
Hilo ni kosa nawashauri waache hiyo kitu kama gar lako tu umekosea ukagonga Nyumba yako tayari ni kosa na je kuchoma gar
 
Mali za ndagu bwana, utazijua tu! Kila analosema mganga lazima utekeleze - hata kama la kipuuzi kama hili.
 
isiwe baloon old model tu cresta
 
Jamani jaman jaman ...tanzania hii hii
Kumbe bado watu wanaish kama malaika
 
Hahahahaha ama kweli WCB ni nyoooookoooooo....na imedhihirika wazi kabisa kuwa hakuna timu yoyote ile ya kishabiki hapa Tanzania ambayo haiwafuatilii hawa jamaa...sio timu kiba wala timu nini sijui zooote macho na masikio kwa WCB....Yaan jamaa wakitamka jambo lolote lile lazima liwe gumzo mitandaoni na watu lazima mlifungulie uzi humu...sasa kwa akili za kawaida tu unadhani ilo gari litachomwa kweli???...tunapoelekea naanza kuziona mada za kijinga jinga sana kuhusu WCB..wala sitashangaa nikikuta uzi ''diamond ametoka K*unya now...mara WCB wanalala usiku sana...Domo uwa anakula msosi mwingi"...ndo tunapoelekea huko
 
Madee alisema arsenal akifungwa anachoma gar na kweli alifungwa uliza nn kiliendelea hakuchoma
kwani alisema atachoma kwa kitu gani..
maana moto nachoma
jua linachoma
sindano inachoma
mda mwingine hata maneno yanachoma
[emoji41]
 
Wangempa shabiki mmoja ingekuwa vyema zaidi.Kuchoma gari moto ni kufuru na nuksi.
 
Umeuaa.....
Hapa upande wa king hakuna anayejua leo atakuwa wapi! Wala habari zake hazisikiki kabisa, lengo lao linaweza likawa limetimia kiasi flani katika kutafuta attention..
 
Wangetuletea sisi bukoba kwenye tetemeko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…