LeBron James afunga pointi 40, aifikia rekodi ya Jordan

LeBron James afunga pointi 40, aifikia rekodi ya Jordan

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Screenshot 2025-02-07 094313.png
Nyota wa Kikapu, LeBron James ameonesha ukomavu baada ya kuiongoza Los Angeles Lakers kuoata ushindi wa Vikapu 120-112 dhidi ya Golden State Warriors katika Ligi ya NBA.

LeBron amefunga Pointi 42, ‘Ribaundi’ 17 na Asisti 8 ambapo ameungana na Michael Jordan kuwa wachezaji wawili pekee waliofunga zaidi ya Pointi 40 katika mchezo mmoja wakiwa na umri wa Miaka 40 katika NBA.

Jordan alianza kuweka rekodi hiyo Mwaka 2003, kwa kufunga pointi 43 akiwa Washington Wizards ilipocheza dhidi ya New Jersey Nets.

============================

LeBron James Made NBA History In Los Angeles Lakers Win Over Warriors

On Thursday evening, the Los Angeles Lakers hosted Steph Curry and the Golden State Warriors.

The Lakers won by a score of 120-112.

LeBron James finished the win with 42 points, 17 rebounds, eight assists, one steal and one block while shooting 14/25 from the field and 6/9 from the three-point range in 37 minutes of playing time.

James also made NBA history.
Via Mike Trudell of Spectrum SportsNet: "LeBron joins Michael Jordan as the only player to score 40 points at the age of 40, surpassing the mark with a 3-pointer that gives LeBron 42 for the evening, alongside 17 rebounds and 7 assists."

James is still among the best 25 players in the NBA after turning 40 in December.

He came into the night with outstanding averages of 24.1 points, 7.6 rebounds and 9.1 assists per contest while shooting 51.4% from the field and 38.1% from the three-point range in 45 games.

Via Ben Golliver of The Washington Post: "There are now two members of the NBA's 40/40 club (40+ points in a game at 40+ years old)

- Michael Jordan: 43 points for Wizards vs. Nets in 2003

- LeBron James: 42 points (& counting) for Lakers vs. Warriors in 2025"

With the win over Golden State, the Lakers improved to 30-19 in 49 games, which has them as the fifth seed in the Western Conference.

They are in the middle of a four-game winning streak.

On Saturdasy, the Lakers will resume action when they host the Indiana Pacers.

There are now two members of the NBA's 40/40 club (40+ points in a game at 40+ years old) - Michael Jordan: 43 points for Wizards vs. Nets in 2003 - LeBron James: 42 points (& counting) for Lakers vs. Warriors in 2025
 
Zamani ulikuwa mchezo wa mabishololo, watoto wa kishua waliokuwa wanaishije uzunguni au bomani. Watoto wa wakuuwa mikoa, wilaya wakurugenzibalimbali. Walikuwa wanaovaa maraba makubwa.

Siku hizi umefutika kabisa baada ya nchi nzima kuanza ku promote soka na kulazimisha Kila mtu aufuatilie, viwanja vimekufa, mtoto anazaliwa anavishwa jezi ya simba au Yanga anaamini ndio mchezo pekee
 
Kwaiyo ulitaka tusipromote soka Ina maana wamefeli wenye huo mchezo watoto wa wakuu wa mikoa na hao washua kuendeleza mchezo wao
 
Sasa amemfikiaje wakati mwamba ana 43 na yeye 42?
Au ndio tunalazimisha rekodi kwa kudai eti kavuka 40? Sasa sijui umri au kuvuka point

Rekodi zingine ziachwe tu zijitegemee
 
Zamani ulikuwa mchezo wa mabishololo, watoto wa kishua waliokuwa wanaishije uzunguni au bomani. Watoto wa wakuuwa mikoa, wilaya wakurugenzibalimbali. Walikuwa wanaovaa maraba makubwa.

Siku hizi umefutika kabisa baada ya nchi nzima kuanza ku promote soka na kulazimisha Kila mtu aufuatilie, viwanja vimekufa, mtoto anazaliwa anavishwa jezi ya simba au Yanga anaamini ndio mchezo pekee
Ni kweli
 
Back
Top Bottom