Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Inaelelkea Waarabu wanakukuna sana wewe...!!! Maana unawahusudu vilivyo
Wanamnyevuwanyevuwa si unajuwa mambo ya waarabu?
:angry:wewe kitimoto unanitafutia ban??? mimi nakuona mtoto wa kike tena mwali.
Yaani mimi kuwa mpenzi wa mama Agogwe imeshakuwa Tabu?
We mtoto una hasira kweli.
Waache wazee wako wale bata! We kakojoe ulale. Mapenzi makongwe huyajui wewe!
:angry:wewe kitimoto unanitafutia ban??? mimi nakuona mtoto wa kike tena mwali.
nyinyi pimbi si hamna heshima kwa mama zenu ndio maana unaandika kama huna kichwa pmbf** kabisa usirudie kusema maneno kama hayo namheshimu sana mama yangu pamoja na wanawake wingine wote.
nyinyi pimbi si hamna heshima kwa mama zenu ndio maana unaandika kama huna kichwa pmbf** kabisa usirudie kusema maneno kama hayo namheshimu sana mama yangu pamoja na wanawake wingine wote.
Mkuu uspanic.., Waswahili wanasema ukitaka kuruka agana na Nyonga.., sio kila mtu n wa kumkopy kama huna Ubavu.., ni Ushauri tu hutaki unaacha!!!
Matola hebu tupo mkasa na waarabu maana nimepitia posts zako kama kuna kitu kibaya wamekufanyia..god forbidWanamnyevuwanyevuwa si unajuwa mambo ya waarabu?
Leo mama Matola atanikoma!