Hawa jamaa they deserve to live and enjoy the fruits of their hard labour....King James (Lebron) kuendelea kuwa juu kwa miaka kadhaa sasa sio kazi ndogo. Ni Matunda ya nidhamu ya hali ya juu, kujituma katika mazoezi na kuzingatia malezi ya kimichezo kutoka kwa kocha wake!! Leo hapa kwetu mwanamichezo anashindwa kuwa kwenye form kwa miaka miwili tu.....kutwa kusoma magazeti ya udaku kuona wmemwagia ujiko gani aingia uswazi akakamate demu na pombe, vichwa hivyo wanaanza kujibizana na makocha nk..sijui ni lini watabadilika.