Lebron James anunua nyumba ya dala milioni tisa!

Hili crib limetulia sana, sie wengine vibanda vyetu huku bongo utadhani tunacheza mchezo wa kujipikilisha utotoni.... dah damn it.
 
hawana maana, africa hasa sudan, manzese, somalia na vingunguti huko kuna watu wanaishi maisha ya msituni bila kujua kama kesho watakula nini wenyewe wanatapanya pesa namna hiyo? watakuja kumbana na kichapo siku ya hukumu...nilikuwa na njaa hamkunilisha,,,nilikuwa uchi hamkunivisha,...kadiri mlivyowatendea walio wadogo ndivyo mlivyonitendea mimi. kiburi cha mwanadamu ni kidogo sana, uzima, akiugua tu huyuhuyu yuko tayari hata kuuza jumba lote hilo asave life...hahaha...jiwekeeni hazina zenu mbinguni kusiko haribika kitu, nondo na kutu hawali wala hawaharibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…