Habari zilizozagaa hapa chuoni ambazo hazijadhibitishwa rasmi zinasema mwl wa cbe hapa dodoma usiku wa kuamkia leo tarehe 11/4 ameuwawa kikatili na watu wasiojulikana vyanzo vya habari vinasema lecture huyo anaefahamika kwa jina la MR MANICHE alivamiwa na vibaka mida ya usiku eneo la kikuyu ambako ndiko alikokua anaishi,wanachuo wengi walikuwa wamejikusanya vikundi vikundi wakiwa hawaamini kile kilichotokea na wengine kulazimika kurudi hostel,mwl atakumbukwa kwa ufundishaji wake mahiri ktk somo la ENTREPRENEURSHIP,hadi tunakwenda mtamboni bada taarifa rasmi kutoka ktk uongozi wa chuo hazijatolewa,
Japo siipendi UDOM kabisa, ila kama habari hii ni ya kweli inasikitisha sana kwa unyama huu. Uchunguzi makini ufanyike.
lecture?????hivi vyuo vya siku hizi ni janga lataifa

Daa,ni kweli kabisa,yaan wanakuwa hi mbaya,utendaji mbovu,kaz kwel kwelMkuu umeona eeh? Yaani mtu uko chuo kikuu bado tu hata kutofautisha maneno yanakushinda? Shule za Kata ni janga la Taifa. Lakini hawa wakute kazini wanavyojiinua utakôma! Kumbe kichwani hamna kitu!