Jamani kwa wale waliosoma vyuo kama UDSM mnasemaje kuhusu walimu wa kibongo (Dr. & Professors)? Je ni kweli kwamba ni wanoko, au sisi wanafunzi hatuna akili, au basi tuu huwa hawataki mtu amalize shule yake kwa amani? Maana unakuta mtu anagandishwa hata miaka 3 kazi yake supervisor ameikalia.
bongo niliishia form 4,(sina experience ya vyuo vya bongo,nasikia tu story)then high school na chuo nimekuja kusomea ulaya, the way walimu walivyo friendly,hadi raha,from secondary to chuo.na mwalimu au lecturer kuwa friendly haimaanishi atakupa point za bure, ukichemsha mitihani inakula kwako halafu kama hakujui vile.
nafikiri huo unoko unatokana na ugumu wa maisha ya bongo, ndio maana hasira nyingi.
Kaka na wewe ni lekchara ? mbona wamjibu kikavu hivo? lolzWewe ni graduate kweli? Mbona hata kuandika ni shida tupu hapo.
Kaka na wewe ni lekchara ? mbona wamjibu kikavu hivo? lolz
Jamani kwa wale waliosoma vyuo kama UDSM mnasemaje kuhusu walimu wa kibongo (Dr. & Professors)? Je ni kweli kwamba ni wanoko, au sisi wanafunzi hatuna akili, au basi tuu huwa hawataki mtu amalize shule yake kwa amani? Maana unakuta mtu anagandishwa hata miaka 3 kazi yake supervisor ameikalia.
Ni mchungaji bro.....! Dogo anakanda kizushi..