Lectures: Jifunze English katika Thread hii Bure kabisa

Kiufupi nmejifunza vingi sana humu japo Kuna wajuaji wengi
 
Nawezaje kupata miendelezo bro,,,,mana sijaelewa hizo page zinapatikana wapi
 
Mkuu mbona kimya. Sipati muendelezo a somo

Sent using samsung galaxy grand prime pro
 
Dear member kutokana na wengi kuwa na shida hii nimeanzisha group la wasapu ambalo tutaendesha chart kwa lugha ya kiingereza, nyimbo za kiingereza, hadithi kwa kiingereza ili kila mtu aweze kujinoa zaidi pia nitakuomba mwalimu wangu mwenye huu uzi uweze kutoa somo hili kwenye simu maana ndo raisi kuitumia kuliko huku angalizo haina haja ya kuweka jina lako hatuhitaji kufahamiana tunachohitaji ni kuimprove lugha zetu
 
mtoa mada naona ufuate hii link ili uweze kutuelimisha zaidi English charts only
 
Tenses
1.Past Tense
Parts
Past Tense Simple
N(s)/P(s)+did +infinitive verb( no adding s, es, ies)+object. or
N/p + main verb in past( regular or irregular verbs) +object
E.g Juma did run quickly last week
I learned grammar two days ago.

Simple Past Continous tense N/pronoun(s) +was/were+ verb(ing) +object
e.g He was playing his football yesterday

Past Perfect Tense
N/p + had + main verb in past participle + object
E.g It had already flown to Dsm

Past Perfect Continous Tense
N/p + had + been +main verb(ing)+object
I had just been doing my job)

Thanks, next.......!?
Understand that,1st singular persons, 2nd plural persons, 3rd singular, plural persons........,
 
Reactions: Osu
Kaka napenda sana kujua iyo lugha ila shida yangu sijui iko wapi naweza kusoma maneno yaliyo andikwa kwa lugha ya kingereza ila mengi katika ayo nayosoma uwa sielewi kilichomaanishwa mfano utanguliz wa somo lako nimesoma lkn asilimia kubwa sikuwa na elewa
 
Asante kwa elimu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…