Lecuture about lying ,contract obligations and consent

Lecuture about lying ,contract obligations and consent

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Posts
5,937
Reaction score
1,440
Huyu Prof Micahel Sandel wa havard napenda sana lecture zake

Kwenye video hii anaongelea mambo

  • Lying and principles
  • Contract
haya wansheria na wale mnaofutilia mambo ya dowans na mikataba tata mnaweza ku foward mungalie kuanzia dk ya 21 nadhani. Hapo ndipo anapoanaz akuongelea contract.
 
Last edited by a moderator:
haya wansheria na wale mnaofutilia mambo ya dowans na mikataba tata mnaweza ku foward mungalie kuanzia dk ya 21 nadhani. Hapo ndipo anapoanaz akuongelea contract.

Mimi si mwanasheria wala sifuatilii mambo ya dowans lakini nimeipanda thanks.
 
nilipenda ile sehemu anapoilliza tofauti ya

  • telling a lie Vs Misleading truth alafu akatolea mfano tukio la Bill clinton kuwa na lesinky kuwa clinton aliongea misleading truth
Mnaweza kwenda kuona lecture zake nyingine anazaotoa kule youtube . they arevery interesting.
 
Ila mwanzisha thread rekebisha spelling kwenye heading
 
Back
Top Bottom