Used?Wakuu,
Niko na Led projector ziko sokoni,details zake:
Image tech :TFT LCD
Contrast:800:1
Native resolution 320x240 PX
Supported resolution 1920x1080 PX
Light:LED
Projection distance 0.8-2M
Projection size 24-60 index
Projection ratio 1:6:1
Bei 300,000 top
Mzigo unaletewa mpaka nyumbani au ofisini kwako kwa dar es salaam.Mzigo upo mwingi
Tuwasiliane fasta:0767210378
Brand new kabisaUsed?
Mie pia nimenunua mahali ili niuze,na.haiendani na bei yako hata kdg.Biashara ni kupata faida na sio utapeli kama unavyotaka kuiwekatz hiii bado kuna watu wanapigwa ? aliexpress niliipata kwa 80,000 tu ?
Mkuu naomba muongozo na mimi niweze kupata projector kwa unafuu huo!! Kama aina yake na jinsi ya kuigiza, nitashukuru sana mkuutz hiii bado kuna watu wanapigwa ? aliexpress niliipata kwa 80,000 tu ?
Sasa ukiagiza hadi ifike bongo si hata laki 2 utakua umetumia+usumbufu???!!Mkuu naomba muongozo na mimi niweze kupata projector kwa unafuu huo!! Kama aina yake na jinsi ya kuigiza, nitashukuru sana mkuu