K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Jul 26, 2014 #1 contact me here in JF if interested
Kaunga JF-Expert Member Joined Nov 28, 2010 Posts 12,529 Reaction score 13,502 Jul 26, 2014 #2 I am lakini nina 500,000
K KAUMZA JF-Expert Member Joined Aug 31, 2010 Posts 699 Reaction score 241 Jul 26, 2014 #3 Dah..Tsh 650,000/=. Mbona bei mkasi hvyo? Mimi nilinunua mpyaaaa kabisa trh 22 Dec 2013, kwa Tsh 670,000/. Kwa bei hiyo, si bora anayetaka kununua, aende dukani? Hyo kwa kuwa ni used, labda upewe tsh 480,000 to 500,000. Ila Sony Bravia LED ni TV nzuri sana.
Dah..Tsh 650,000/=. Mbona bei mkasi hvyo? Mimi nilinunua mpyaaaa kabisa trh 22 Dec 2013, kwa Tsh 670,000/. Kwa bei hiyo, si bora anayetaka kununua, aende dukani? Hyo kwa kuwa ni used, labda upewe tsh 480,000 to 500,000. Ila Sony Bravia LED ni TV nzuri sana.
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Jul 26, 2014 #4 Poor resolution
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Jul 27, 2014 Thread starter #5 Not used brother! Zote ni brand new ndo maana unaona kwenye box hazijafunguliwa
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Jul 27, 2014 Thread starter #6 Ni PM tuongee vizuri private Kaunga Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mnyamwezi wa Urambo JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 928 Reaction score 275 Jul 28, 2014 #8 Ni smart TV? Vipi ina 3D?
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Jul 30, 2014 Thread starter #9 Kwa 550,000/- nitauza kamza Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Jul 31, 2014 Thread starter #10 Kaunga said: I am lakini nina 500,000 Click to expand... Send me your number in my inbox
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Jul 31, 2014 Thread starter #11 Mnyamwezi wa Urambo said: Ni smart TV? Vipi ina 3D? Click to expand... Sio smart ndugu yangu, but it's of good quality and brand new, inbox me ur number if interested
Mnyamwezi wa Urambo said: Ni smart TV? Vipi ina 3D? Click to expand... Sio smart ndugu yangu, but it's of good quality and brand new, inbox me ur number if interested
Kibar Member Joined Apr 29, 2012 Posts 90 Reaction score 26 Aug 1, 2014 #12 400, 000 kama haina tatzo lolote 0767347080
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Aug 1, 2014 Thread starter #13 Kibar said: 400, 000 kama haina tatzo lolote 0767347080 Click to expand... Nimekutext kwenye msg kaka
Kibar said: 400, 000 kama haina tatzo lolote 0767347080 Click to expand... Nimekutext kwenye msg kaka
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Aug 1, 2014 Thread starter #14 K-killer said: View attachment 173577 contact me here in JF if interested Click to expand...
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Aug 1, 2014 #15 Kama mpya 32" ni 650,000 so 64" ni 1,100,000/=?
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Aug 1, 2014 Thread starter #16 Jerrymsigwa said: Kama mpya 32" ni 650,000 so 64" ni 1,100,000/=? Click to expand... Mi siuzi 64, nauza 32... Sasa unaniuliza bei ya 64 mi ntajulia wapi?
Jerrymsigwa said: Kama mpya 32" ni 650,000 so 64" ni 1,100,000/=? Click to expand... Mi siuzi 64, nauza 32... Sasa unaniuliza bei ya 64 mi ntajulia wapi?
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 10,791 Reaction score 23,561 Aug 1, 2014 #17 Kitu mwake. Umechelewa kdg tu. Mi juzi nimenunua LG kwa laki 9. Inches izo izo. Ila nlikua nataka sana Sony
Kitu mwake. Umechelewa kdg tu. Mi juzi nimenunua LG kwa laki 9. Inches izo izo. Ila nlikua nataka sana Sony
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Aug 1, 2014 #18 K-killer said: Mi siuzi 64, nauza 32... Sasa unaniuliza bei ya 64 mi ntajulia wapi? Click to expand... Mkuu ni swali tu, ikiwa we ni bussness man at least unaeza jua ndio mana nkauliza, kwani umekasirika?
K-killer said: Mi siuzi 64, nauza 32... Sasa unaniuliza bei ya 64 mi ntajulia wapi? Click to expand... Mkuu ni swali tu, ikiwa we ni bussness man at least unaeza jua ndio mana nkauliza, kwani umekasirika?
Kibar Member Joined Apr 29, 2012 Posts 90 Reaction score 26 Aug 1, 2014 #19 Jerrymsigwa said: Mkuu ni swali tu, ikiwa we ni bussness man at least unaeza jua ndio mana nkauliza, kwani umekasirika? Click to expand... Ratio kibiashara haiendi ivo..
Jerrymsigwa said: Mkuu ni swali tu, ikiwa we ni bussness man at least unaeza jua ndio mana nkauliza, kwani umekasirika? Click to expand... Ratio kibiashara haiendi ivo..
K-killer Senior Member Joined Nov 14, 2011 Posts 147 Reaction score 28 Aug 1, 2014 Thread starter #20 Jerrymsigwa said: Mkuu ni swali tu, ikiwa we ni bussness man at least unaeza jua ndio mana nkauliza, kwani umekasirika? Click to expand... Sijakasirika ndugu yangu nilikua tuu nakwambia kua sina hizo na wala siijui bei yake kwa sasa maana sina stock hiyo
Jerrymsigwa said: Mkuu ni swali tu, ikiwa we ni bussness man at least unaeza jua ndio mana nkauliza, kwani umekasirika? Click to expand... Sijakasirika ndugu yangu nilikua tuu nakwambia kua sina hizo na wala siijui bei yake kwa sasa maana sina stock hiyo