Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Kitu mwake. Umechelewa kdg tu. Mi juzi nimenunua LG kwa laki 9. Inches izo izo.
Ila nlikua nataka sana Sony
Ratio kibiashara haiendi ivo..
Inategmea na choice ya Mtu a napenda brand gani, lakini sony wane prove to be the best brand so far.Mkuu hivi brand nzuri ni aina gani ya tv? Mi nina singsung inasumbua sana na huku sumbawanga mafundi sio wazuri, nikipata mshahara nataka nipate mpya
Kweli mkuu,kwenye rangi ndio hovyo kabisa,especially ukiwa unaangalia local chanels.Poor resolution
Inaendaje?Ratio kibiashara haiendi ivo..
Mkuu hivi brand nzuri ni aina gani ya tv? Mi nina singsung inasumbua sana na huku sumbawanga mafundi sio wazuri, nikipata mshahara nataka nipate mpya
Not used brother! Zote ni brand new ndo maana unaona kwenye box hazijafunguliwa
Inategmea na choice ya Mtu a napenda brand gani, lakini sony wane prove to be the best brand so far.
Nimenunua moja.. its cul haina noma yoyote. .. K-Kille u deserve 5 star feedback kma ungekua ebay..