fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
I like the guy na program yake kule utube,japo kuna baadhi ya topic huwa simuungi mkono,lakini nampenda na huwa nacheka sana anapoomba hela ya kununua kahawa kutoka kwa wanaopenda kutazama chanel yake,200 bobs.Keep it up jaduong