F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Dec 7, 2024 #1 I like the guy na program yake kule utube,japo kuna baadhi ya topic huwa simuungi mkono,lakini nampenda na huwa nacheka sana anapoomba hela ya kununua kahawa kutoka kwa wanaopenda kutazama chanel yake,200 bobs.Keep it up jaduong
I like the guy na program yake kule utube,japo kuna baadhi ya topic huwa simuungi mkono,lakini nampenda na huwa nacheka sana anapoomba hela ya kununua kahawa kutoka kwa wanaopenda kutazama chanel yake,200 bobs.Keep it up jaduong
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,379 Reaction score 41,294 Dec 7, 2024 #2 Kitu ambacho nina uthubutu wa kuomba ni kazi tuu. Vingine nakufa na tai yangu shingoni. Hata hiyo naagalia nimuombe nani nani nimuache apite.
Kitu ambacho nina uthubutu wa kuomba ni kazi tuu. Vingine nakufa na tai yangu shingoni. Hata hiyo naagalia nimuombe nani nani nimuache apite.