Leeds United hatoshuka daraja msimu huu

Leeds United hatoshuka daraja msimu huu

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
12,846
Reaction score
28,106
habari za sahizi great thinkers.

ni mtazamo tu, kwa ule mpira wa leeds united jana dhidi ya liverpool sidhani kama watashuka daraja msimu huu, na watajiokotea wabovu wengi sana, timu kama southampton man u na chelsea lazima zipigwe na hawa watoto.

liverpool alisakwa kila kona na alishinda kwa ndondokela ukweli usemwe.
4
Screenshot_20200913-112452_FotMob.jpg
 
Leeds ubora wao ni kocha wao Marcelo biesa

Kusema united,soton na Chelsea wabovu sijui umetumia kigezo gani
Halafu asernal na Aston Vila wazurii?

Ila Leeds anamfunga man city
 
Back
Top Bottom