Ngoja niwe sehemu ya histori.
Hiyo final ya 2001 nilikuwa na 3yrs.
Na chuo umekimbiaEee mkuu leo ndevu ka zote.
Umejuaje mkuu?.Na chuo umekimbia
Kikosi hatari hiki chini ya kocha David OLeary kikiwa na watu wa hatari kina olivier dacourt ian hart eirik bakke lee bowyer alan smith rio gavin ferdinand garry kellly dany mills na nigel martynKikosi kilichocheza Uefa 2001View attachment 1062642
uwanja ulikuwa hatar sana, Baada ya Ligi watacheza friendly match na MAN U.Naukumbuka uwanja wao wa Elland Road ulivyokuwa mgumu kwa vigogo.
Namwona bolton hapo anaenda league one.View attachment 1089804
Leeds mwishoni tumezingua, ila ngoja tujaribi hizi Play off japo tunaweza kupata nafasi, Hongera kwa Norwich nad Sheffield kwa kupanda EPL...
Westbrom atarudi ligi kuu
Leeds ni kama hawakuwa na bahati tena msimu huu,walianza vizuri lakini mwisho wamemaliza tusivyotegemea,,wamepambana lakini wapiLeeds united kwishnei
Ikawa bahati mbaya hapo jana.Mashabiki wa LEEDS tukutane hapa... EPL misimu ujao tutakuwepo ..
Namuona Frank Lampard anapambana kurejea Epl kivingineTar 27 May nampata nafasi Villa kupanda. ..
Derby County
VS
Aston Villa