Gasy wa Ukweli
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 397
- 201
- Thread starter
-
- #41
| # | Team Name | Played | Points |
1 | Leeds United | 37 | 71 |
2 | West Bromwish | 37 | 70 |
3 | Fulham | 37 | 64 |
4 | Brentford | 37 | 60 |
dah! hio ligi ya daraja la kwanza imejaa upinzani.......... nimemkumbuka mark viduka na alan smith (nywele nyeupe, jezi nyeupe, sura nyeupe, kiatu cheusi)Msimu huu wamekaza sana, mpaka sasa tunaongoza Ligi kuu nazimebaki mechi 5 tu.Tunahitaji point kumi tu kujihakikisha safari tena hapo Brentford ashinde mechi zake 5 zilizobaki.
1 Leeds United 78
2 West Bromwich Albion 77
3 Brentford 72
4 Fulham 70
Dua zenu bado mechi tano anahitaji point 10 tu, pia hii ligi hua ni ngumu sana, kwani alivyoshuka kutoka ligi kuu alishuka moja kwa mojaHii team huwa inaniangushaga dakika za mwisho inaongoza game za mwisho inakata moto wanaenda play off nako wanatolewaga.
Ngoja tuone.
yaaah hao jamaa walikuwa hatar, kuna Lucas radebe, Rio kabla ya kwenda Man u, wazee wa Elland Roaddah! hio ligi ya daraja la kwanza imejaa upinzani.......... nimemkumbuka mark viduka na alan smith (nywele nyeupe, jezi nyeupe, sura nyeupe, kiatu cheusi)
Hata hivyo kajitahidi wengine hata hapo pia huwa wanashuka, wanaenda kucheza ligi 1 au 2. Kama wigan, na sunderland.Dua zenu bado mechi tano anahitaji point 10 tu, pia hii ligi hua ni ngumu sana, kwani alivyoshuka kutoka ligi kuu alishuka moja kwa moja
kweli kabsa mkuu, msimu huu ameamua kabsa awe Bingwa.Hata hivyo kajitahidi wengine hata hapo pia huwa wanashuka, wanaenda kucheza ligi 1 au 2. Kama wigan, na sunderland.
Hii team huwa inaniangushaga dakika za mwisho inaongoza game za mwisho inakata moto wanaenda play off nako wanatolewaga.
Ngoja tuone.
Wewe utakua wa enzi zangu..viduka wa Australia... Ilikuwa noma sanadah! hio ligi ya daraja la kwanza imejaa upinzani.......... nimemkumbuka mark viduka na alan smith (nywele nyeupe, jezi nyeupe, sura nyeupe, kiatu cheusi)
umenikumbusha kocha Dean Smith wa Aston Villa, ameipandisha daraja, na anaishushaNaona msimu huu mmekamia kweli kuhakikisha msimu ujao mnacheza epl. Hongera sana kwa wachezaji pamoja na kocha bila kuwasahau mashabiki lia lia.
Ushauri wangu msije mtimua kocha wenu Marcelo Bielsa baada ya kupanda daraja. Ni kocha mzuri sana ila ajipange vizuri, mfumo anao penda kutumia wa 4-1-4-1 awe nao makini atakapo kuwa epl bila hivyo kina Werner watampiga magoli mengi mno.
Jamaa alikuwa anatupia kama ana akili mbovu vileDaah Hii Leeds United nimeikuta mwishoni.. Mark Viduka nilikuwa nashangaa Sana hilo Jina Lake la ki makonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukishinda mechi ya leo tunahitaji point moja tu au jamaa brentford wakidraw au kufungwa mechi moja tunakuwa tumepanda!!!!Kupanda kunanukia