Legacy Media ya Tanzania imekipuuza kitabu cha Kabendera?

Ukisoma comments za watanganyika kwenye Ile interview ya Kabendera na Hassan ndiyo utapata picha ya mtaa unavyomtazama Hayati Magufuli.
Hachafuliki.
 
Kwa simulizi nilizozipata hapa JF, it’s enough for me to conclude that the book in question isn’t worth a single penny of my money! Afadhali niinywee pombe tu hela yangu.😁
 
Kabendera aliandika akiwa amechanganyikiwa ndiyo maana ameandika uongo mtupu.kuchanganyikiwa kwake kumetokana na wajelajela wenzake kumbaka kipindi akiwa gerezani ndiyo maana akawa na ugonjwa wa akili.Mtu mwenye ugonjwa wa akili hawezi kuandika kitabu Kwa ufasaha zaidi Huwa ni uongo mtupu
 
Ni kitabu cha ovyo kinaoonekana cha maana eti kwa kuwa kimeandikwa kiingereza kiingeandika kiswahili ilikuwa ni kituko kama haka Karundi

Nimekumbuka maneno ya baba wa Taifa kwamba mtu akiongea kiingereza anaoonekana wa maana saaaaaana alikachiri.
Halafu eti hicho kitabu kilipitiwa na wanasheria 20, waandishi sijui wangapi…..

Mwandishi huyo hakuwaorodhesha hao watu kwa majina na fani.

Nahisi atakuwa anadanganya maana haiwezekani kitabu kipitiwe na watu wote hao halafu wasiyaone makosa yaliyomo!
 
Mbowe ndo alimpiga risasi Lisu.

Hahahaaa aiseee ,yaani wewe unamshambulia Kabendera kwamba amejivua nguo na wewe vile vile unajivua nguo ,mbowe ndiyo aliyeng'oa CCTV camera? Mboye ndiyo aliyeondoa walinzi getini? Mbona majaliwa alikataa ushauri wa Mbowe wa kuita scotland yard kuja kuchunguza? Mbowe huyo huyo ndiye aliyehakikisha Lissu haendi Muhimbili kutibiwa maana angeenda kumalizwa kule...Put some respek on his name.
 
Wapi makamu wa wakati huo na wasaidizi wake wamekanusha tuhuma hiyo au ya mke/mbunge wa balozi na DC ?
 
Nyani Ngabu , hakuna mtu ataamini anachokisema mbaya wako kwa ubaya, kwani chakula bila chumvi hakiliki. Aidha huwezi kuandika kitabu kupitia neno ATI au Niliambiwa.
 
Okay, wakati mnabakwa wote(obviously ulikuwa naye ngome ndiyo maana una details za kina) mlipanga pamoja huo uongo?
It's all good, sasa kuumbua huo uongo wake hebu weka ukweli with your facts ili tulinganishe wenyewe. That's the only sensible way to expose his lies.
 
Nyani Ngabu , hakuna mtu ataamini anachokisema mbaya wako kwa ubaya, kwani chakula bila chumvi hakiliki. Aidha huwezi kuandika kitabu kupitia neno ATI au Niliambiwa.
Hakuna mtu ataamini? Says who? Wote wanaotoa maoni ya kukubaliana na yaliyomo kwenye kitabu ni ghosts?
Be realistic, kuendeshwa na mahaba mpaka yakakupofusha you're just embarrassing yourself.
 
Hakuna mtu ataamini? Says who? Wote wanaotoa maoni ya kukubaliana na yaliyomo kwenye kitabu ni ghosts?
Be realistic, kuendeshwa na mahaba mpaka yakakupofusha you're just embarrassing yourself.
Samahani kwa uandishi ambao haukukamilika. Nilitakiwa kuongeza neno credible yaani niandike hakuna mtu credible ataamini. Si kila mtu ambaye si credible kama wewe.
 
Huenda wanalijua wanaona kabendera kachelewa sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…