igogondwa JF-Expert Member Joined Aug 1, 2021 Posts 2,597 Reaction score 3,373 Nov 7, 2021 #21 kenna said: Kila tawala ina kipaumbele chake kutokana na nyakati zilizopo, changamoto, fursa, michezo ya kisiasa nk Click to expand... Vipaumbele ni vya taifa na si vya mtawala...
kenna said: Kila tawala ina kipaumbele chake kutokana na nyakati zilizopo, changamoto, fursa, michezo ya kisiasa nk Click to expand... Vipaumbele ni vya taifa na si vya mtawala...
Jumbe Brown JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 12,077 Reaction score 12,786 Nov 7, 2021 #22 igogondwa said: Vipaumbele ni vya taifa na si vya mtawala... Click to expand... Twende taratibu.... Donald Trump aliliondoa taifa la Marekani kutoka MKATABA WA MARIDHIANO YA URUTUBISHAJI URANI NA IRAN....Joe Biden anataka KUURUDISHA.....Sasa hapa ni vipaumbele vya taifa ama UTAWALA?!!!! SIEMPRE JMT
igogondwa said: Vipaumbele ni vya taifa na si vya mtawala... Click to expand... Twende taratibu.... Donald Trump aliliondoa taifa la Marekani kutoka MKATABA WA MARIDHIANO YA URUTUBISHAJI URANI NA IRAN....Joe Biden anataka KUURUDISHA.....Sasa hapa ni vipaumbele vya taifa ama UTAWALA?!!!! SIEMPRE JMT