Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tuWatendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua wagombea wa CHADEMA.
Wagombea wachache walioachwa bila kuenguliwa, kuna mkakati wa kuwaondoa wote kupitia mapingamizi. Wagombea wa CCM wamepewa maelekezo ya kuwawekea mapingamizi wagombea hao wachache wa CHADEMA ili CCM wabaki pekee yao kwa 100%.
Kazi hii inafanywa na wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya (DC) na Wakuu wa Usalama wa Taifa (DSO) wa Wilaya zote za Dar es SalaamHaya ni majaribu makubwa lakini tutayashinda na Dar es salaam itaenda kuandika historia ya kutetea na kuhami Demokrasia.
Tutapambana mapambano ambayo hayajawahi kutokea,Mimi nitaongoza mapambano haya.Boniface Jacob Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani.