Legacy ya Yusuph Makamba ni ipi haswa?

Legacy ya Yusuph Makamba ni ipi haswa?

Labda ukuu wa mkoa ila nadhani ukatibu wa CCM ndo umembeba yule mzee wa mipasho
 
Ukienda Lumumba utapata majibu sahihi. Ila kwa sababu umechagua kuuliza humu, basi na majibu yataendana na matarajio yako.
 
Naomba kueleweshwa ni ipi legacy ya ndugu yusuph Makamba hapa Tanzania kwenye chama chake na serikalini kwa ujumla.
Hana lolote lile.Huyu mzee ulishawahi kufukuzwa NEC. Kilichomsaidia kurudi kwenye ulingo wa siasa ni nini.TUNGURI.
 
Naomba kueleweshwa ni ipi legacy ya ndugu yusuph Makamba hapa Tanzania kwenye chama chake na serikalini kwa ujumla.
Kwenye kura ya MARUHANI, 2012 alimpambania JK asivuliwe kofia ya uenyekiti wa ccm, waafidhina walisema anapwaya urais na uenyekiti. Ilikuwa alimanasura dadeki...chezea masai
 
Back
Top Bottom