Muombe mume Wa Giggy Alberto akusaidiekwa wadau wa sheria je ni criteria zipi za mashambulio ya wanasiasa ambazo zinaqualify kuitwa attempted political assassination?
Je kila shambulio la mwanasiasa linaweza kupewa sifa ya attempted assassination au assassination?
Ni kweli na inawezekana likawa limetekelezwa na pande mojawapo Kati ya wakulu au walioogopa atawafunika kwenye chamaHata ujadili vipi, shambulio la Lissu ni la kisiasa Ndugu..
Don't try to mislead.
kwa wadau wa sheria je ni criteria zipi za mashambulio ya wanasiasa ambazo zinaqualify kuitwa attempted political assassination?
Je kila shambulio la mwanasiasa linaweza kupewa sifa ya attempted assassination au assassination?
Unaandaa utetezi au?!?!?!?!?Mashaka ya nini?
Mimi nahitaji definition tu