Legal Guru mlioko hapa JamiiForums Taifa lolote likiwa na yafuatayo kutangaza 'State of Emergency' ni vibaya?

Legal Guru mlioko hapa JamiiForums Taifa lolote likiwa na yafuatayo kutangaza 'State of Emergency' ni vibaya?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Umeme wa taabu

2. Maji hakuna hata ya Kuchambia Nnya

3. Maharage Bei Juu

4. Condoms za Kuazimana

5. Watu Milioni Saba ni Mataahira

6. Anayetakiwa kutujali Watanzania kipindi cha shida hatujali na ndiyo anataka kwenda Kuchanja tena Uviko 19 kwa Wachina

7. Wananchi hatuaminiani tena

Nayasubiri kwa hamu majibu yenu!!!
 
Natukanizia
 
4 sio kweli mkuu.
 
Hii nchi hii tunakoelekea hata nkifikilia ainiingii akilini.
Mwaka ujao mwezi wa kwanza, pili hadi 6 sijui hali itakua vip.
 
1. Umeme wa taabu

2. Maji hakuna hata ya Kuchambia Nnya

3. Maharage Bei Juu

4. Condoms za Kuazimana

5. Watu Milioni Saba ni Mataahira

6. Anayetakiwa kutujali Watanzania kipindi cha shida hatujali na ndiyo anataka kwenda Kuchanja tena Uviko 19 kwa Wachina

7. Wananchi hatuaminiani tena

Nayasubiri kwa hamu majibu yenu!!!
Huuu ndio mtaji unaowaweka ccm madarakani toka enzi ya nyerere hata Pascal Mayalla anajua. Ndio maana yeye yuko radhi kupapambani familia yake ipate mahitaji pindi achaguliwapo ubunge..
 
hivi maji hakuna ni Dar tu au mbona tulioko huku moro maji tunajimwagia tu.
 
Achana na waTz,sisi hatuna tofauti na mazombie ya Walking Dead...kamwe sijawahi kuona kiongozi anahamasisha rushwa (kamba),hatA kama ni fisadi wa kutupwa.nimekuja kuona mwaka huu..lakini huwezi amini yalikuja majitu yakatetea hiyo kauli bwana...SASA sisi si wapumbavu..na demokrasia ilivyokuwa ya kichoko ww Kura yako mwerevu inaenda kuwa negated na mpumbavu kama Huyo mmoja..usijichoshe kuwaongelea waTZ. Tunastahili uongozi tulio nao...

Ngoja nikachote maji.KAZI iendereeee
 
Sijui kwanini viongozi wanahamasisha vijana kufanya vurugu kwenye nchi yao!!! Hatutaki tufikie huko hii nchi ni yetu sote
 
Back
Top Bottom