Legal Officer - Bank of Tanzania

Legal Officer - Bank of Tanzania

Maxence Melo

JF Founder
JF Staff
Joined
Feb 10, 2006
Posts
4,324
Reaction score
13,967
Job Title: Legal Officer - 2 Positions

Requirements: Holder of an upper second or first class Bachelor's Degree in Law

Job Description:

Assisting in making follow up on Bank's cases in courts of law, tribunals and Advocates' Chambers and keeping records of all pending case;

Apply To:

Deputy Governor (AIC)
Bank of Tanzania,
P. O. Box 2939,
DAR ES SALAAM.

Closing Date : 20/Aug/2010
 
Safi, kama zinapatikana kazi za sayansi kama research n.k tuambiane maana huku tuliko tunalinda ofisi tu hamna dili.
 
Heee wanaanzisha chuo au, hao waliojazana lukuki ni vipi!
 
Nchi inawenyewe hii.
Kuna jamaa yangu alipeleka applications zake hapo BOT, alipeleka physicaly.
Pale mapokezi alikutana na mama mmoja ambaye alikuwa anakagua copy ya vyeti.
Akamwambia applications haijatimia kwani cheti cha dararasa la saba hakikuwepo kwenye attachment.
 
duh! hyo kali jamani
 
Kwani tatizo liko wapi hapo? Siku hizi wanakihitaji hicho cheti kwenye ajira!
 
Back
Top Bottom