- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
duh! hyo kali jamaniNchi inawenyewe hii.
Kuna jamaa yangu alipeleka applications zake hapo BOT, alipeleka physicaly.
Pale mapokezi alikutana na mama mmoja ambaye alikuwa anakagua copy ya vyeti.
Akamwambia applications haijatimia kwani cheti cha dararasa la saba hakikuwepo kwenye attachment.
Nafasi hii ilishatangazwa long time kitambo sasa wanajidai hawajapa qualified people so wanatangaza upya ili wapachike watu wao, hii ndio bongo ya wabongo bwana...Wizi mtupu.........
Nchi inawenyewe hii.