Mau Senior Member Joined Apr 8, 2009 Posts 176 Reaction score 10 May 1, 2012 #1 wakuu kuna nafasi ilitangazwa ya Legal officer na Mamlaka ya maji Tabora vipi mchakato wake uliishia wapi. Mwenye kujua naomba atujuze
wakuu kuna nafasi ilitangazwa ya Legal officer na Mamlaka ya maji Tabora vipi mchakato wake uliishia wapi. Mwenye kujua naomba atujuze
B barakandesambur Member Joined Jan 17, 2011 Posts 19 Reaction score 1 May 2, 2012 #2 matapeli sann hao sio mara ya kwanza kutangaza na hutaweza jua imeishia wapi wanatangazaga halafu kimya wanajua wenyewe inaonekana wanatangaza tu ushahidi tayari wana mtu wao
matapeli sann hao sio mara ya kwanza kutangaza na hutaweza jua imeishia wapi wanatangazaga halafu kimya wanajua wenyewe inaonekana wanatangaza tu ushahidi tayari wana mtu wao