Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Jul 21, 2011 #1 Mhhh, hizi nyimbo bana, wapenda jani ni kasheshe 🙂 Hapa Peter Tosh na vitu vyake: Baadaye wakaja UB 40 wakaurudia..... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mhhh, hizi nyimbo bana, wapenda jani ni kasheshe 🙂 Hapa Peter Tosh na vitu vyake: Baadaye wakaja UB 40 wakaurudia.....
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Jul 21, 2011 Thread starter #2 Swali langu kwa Madrs na wavutaji: Kwenye wimbo, Peter Tosh anasema Sigara ina madhara zaidi kwa afya yako na anamwaga sifa kibao kwa jani, je kuna ukweli au ndiyo mvuta kamba huvutia kwake? Peter Tosh again: Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Swali langu kwa Madrs na wavutaji: Kwenye wimbo, Peter Tosh anasema Sigara ina madhara zaidi kwa afya yako na anamwaga sifa kibao kwa jani, je kuna ukweli au ndiyo mvuta kamba huvutia kwake? Peter Tosh again:
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Jul 21, 2011 Thread starter #3 Whaaat? Sena Paul na yeye? Acha kufikiria kuvuta, rudi UJENGE TAIFA LAKO LA GIZA. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016