Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Nini siri ya Waitaliano kuteka soko la luxury brands kwenye soko la dunia?Waitaliano wako vizuri sana kwenye mitindo na designing, angalia hata miji yao mikongwe kama Rome, Milan na Venice ilivyopangiliwa
Milan Fashion Week ni mojawalo ya tamasha kubwa duniani la mitindo linalofanyika nchini Italia
Hata tamasha kubwa zaidi duniani la tuzo za filamu The Cannes Film Festival hufanywa nchini Italia
Tayari walishajitengenezea ufalme wao, na nyingi ya bidhaa zao zafashion hutengenezwa ChinaNini siri ya Waitaliano kuteka soko la luxury brands kwenye soko la dunia?
Kama kudesign makampuni mengi duniani yana design?
Kwa nini brands za Italy zinakuwa zinafanya vizuri zaidi hata bei yake imechangamka
Na mtu akivaa kiatu au nguo brand ya Italy au akitembelea matako ndani ya mkebe wa kifahari wa Kiitaliano anaona ufahari na anaonwa kajipata
The Cannes hufanywa Italia????!!!..... jamaniiiiiiii...Waitaliano wako vizuri sana kwenye mitindo na designing, angalia hata miji yao mikongwe kama Rome, Milan na Venice ilivyopangiliwa
Milan Fashion Week ni mojawalo ya tamasha kubwa duniani la mitindo linalofanyika nchini Italia
Hata tamasha kubwa zaidi duniani la tuzo za filamu The Cannes Film Festival hufanywa nchini Italia
Wachina wanafeli wapi?Tayari walishajitengenezea ufalme wao, na nyingi ya bidhaa zao zafashion hutengenezwa China
Akina Prada, Gucci na Giorgio Armani wanaweka label zao na kuingiza soko la dunia
Sorry I stand to be corrected, nilitaka kumaanisha Venice International Film FestivalThe Cannes hufanywa Italia????!!!..... jamaniiiiiiii...
The Cannes ni UfaransaThe Cannes hufanywa Italia????!!!..... jamaniiiiiiii...
Wanatakiwa kwanza wawe na icons wa fashion kama Ulaya na Marekani ndio brands zao zitoboe kwenye dunia ya mitindoWachina wanafeli wapi?
Hapa atleast umejaribu kunishawishiWanatakiwa kwanza wawe na icons wa fashion kama Ulaya na Marekani ndio brands zao zitoboe kwenye dunia ya mitindo
Luxury brands hasa za fashion zinategemea pia umaarufu wa mwanzilishi
Wachina wanaweza wakawa na brands zenye ukali katika design ila designers wao hawana majina
Kwenye bidhaa za Luxuries watu wananunua majina
Ni hivyo mkuuHapa atleast umejaribu kunishawishi
Hata magari brands ya Japan, German na kwingineko models nyingi huwa designers ni Italians. Unajua tenders za designs huwa zinatoka globally na mara nyingi Wataliano huwa wanashinda tenda hizo, ni wabobezi kwenye designing.Nini siri ya Waitaliano kuteka soko la luxury brands kwenye soko la dunia?
Kama kudesign makampuni mengi duniani yana design?
Kwa nini brands za Italy zinakuwa zinafanya vizuri zaidi hata bei yake imechangamka
Na mtu akivaa kiatu au nguo brand ya Italy au akitembelea matako ndani ya mkebe wa kifahari wa Kiitaliano anaona ufahari na anaonwa kajipata
Yeah hapa nakubaliana naweHata magari brands ya Japan, German na kwingineko models nyingi huwa designers ni Italians. Unajua tenders za designs huwa zinatoka globally na mara nyingi Wataliano huwa wanashinda tenda hizo, ni wabobezi kwenye designing.
1. Cultural HeritageKwa nini Waitaliano wamejipata sana kwenye luxury brands?