Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Duh!yaani mulemule bora hata Aston villa achukue ndoo kwangu itakuwa poa tu.ni kweli ingeniuma kama city wangetetea ubingwa wao au arsenal kuchukua!kusinge kalika umu hata kidogo!
ahahaha,mkuu mie man utd,wewe je?Duh!yaani mulemule bora hata Aston villa achukue ndoo kwangu itakuwa poa tu.
Ndo Tim yenye mashabiki wengi wa mkopo. Chelsea, Man u, Liver, na wengineo kasoro wenye roho ya korosho na kikongwe wao.. Nadhani utakuwa umenielewa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]ni timu ambayo imeibuka ghafla katikati ya msimu huu wa ligi kuu ya england 'epl'
je ina mashabiki hapa kwetu?
Hiyo ndo timu hiyo usiondoke hapo ulipo wala usitake kujua wale mabingwa wa kusadikika nadhani umenielewa.Man u forever.ahahaha,mkuu mie man utd,wewe je?
Umepata soko sana huo mchepuko watu kibao wanajipoza.MCHEPUKO WANGU HUWO
POWA KJANAUmepata soko sana huo mchepuko watu kibao wanajipoza.
msaliti mkubwa wewe!sasa leicester wakishuka daraja 2016/2017 tusiwaone mkivaa nyuzi za the blues,gunners au red devils!
Ni timu ambayo imeibuka ghafla katikati ya msimu huu wa ligi kuu ya england 'EPL'
Je ina mashabiki hapa kwetu?
mi nilianza kuishabikia msimu uliopita pale ulloa alipoiazibu manchestermkuu mwogope Mungu,ukongwe huo umeanza lini?ahahaha
Kitambo tutangu zamani au kwa sababu inafanya vizuri?
manchester ipi?mi nilianza kuishabikia msimu uliopita pale ulloa alipoiazibu manchester
Manchester united, nafikiri walifungwa tano au nne na leceister,manchester ipi?
mimi ni mimiWewe ni nani kutuchagulia timu za kushabikia?
wewe utakuwa shabiki wa arsenal au chelseaManchester united, nafikiri walifungwa tano au nne na leceister,
kwanini ?wewe utakuwa shabiki wa arsenal au chelsea