Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tunaisubiri iporomoke , walipokuwa wanamuuza N'golo walitarajia nini ?Leicester wana shida na midfield....
ngolo kante kaondoka
na mtaalam wao wa usajili pia kaondoka
Tunaisubiri iporomoke , walipokuwa wanamuuza N'golo walitarajia nini ?
Hii ni baada ya kudhihirisha wazi kwamba ni timu ya msimu mmoja , baada ya leo kutandikwa na timu KIBONDE ya Man U kwa kapu la magori 4 - 1
Mwenendo wa mabingwa hawa watetezi ambao wamegeuka kuwa wasindikizaji unasononesha wengi , mpaka sasa haifahamiki wanatumia fomesheni gani , hawaeleweki kabisa , style yao ni moja tu ya KOMA KUMWANYA , hii ni style ya kinyakyusa ikimaanisha piga mpira juu ili uende mbele , Tukuyu stars waliitumia sana miaka ya nyuma lakini walipostukiwa wakashuka daraja.
Hivi mchezaji muhimu wa timu hii alikuwa N'GOLO KANTE pekee ?
Mimi Leo full raha
Man 4
Simba 4
Du!!!
Kufungwa na timu mbovu Man U kumenikera sana .Hapana Mkuu kuporomoka hawaporomoki, pamoja na kipigo cha 4-1 leo lakini bado wana timu nzuri sana, labda wawe na majeruhi ya nyota wao kwa kipindi kirefu lakini hii ni top 5 team kwa msimu huu.
Top 5 ni uongo...ila labda hawatashuka.Hapana Mkuu kuporomoka hawaporomoki, pamoja na kipigo cha 4-1 leo lakini bado wana timu nzuri sana, labda wawe na majeruhi ya nyota wao kwa kipindi kirefu lakini hii ni top 5 team kwa msimu huu.
Kufungwa na timu mbovu Man U kumenikere sana .
Umeandika kiuanamichezo wengine wapo kwenye u coconut ni vitu viwili tofauti.Mkuu kwa maoni yangu MANU si timu mbovu, ina wacheza wazuri sana ila Mounriho hajajua starting 11 yake. Akishaijua tu MANU ni moto wa kuotea mbali Mkuu.
Umeandika kiuanamichezo wengine wapo kwenye u coconut ni vitu viwili tofauti.
Mbovu!!?Kufungwa na timu mbovu Man U kumenikera sana .
Jombaaa man U haiaminiki toka enzi za fagie, muulize T Henry alishuhudia maajab ya 6-1 kama wamesimama vileKufungwa na timu mbovu Man U kumenikera sana .
Hull city alivyopanda daraja alikaa kileleni wakaanza kumpiga duuuh hata sijui kama alird tena top 4Leicester hawawezi kushuka daraja hata kidogo, huko ni kwa Sunderland na hull city
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakufa!Leo ni safi...Dimba 4 Arsenal mtu ameshakula 3 hapa nakata kiroba cha 9