Oh my God nimepoteza kumbukumbu kama vile nimetupia gongo, mtani ni jana bana ndiyo vijana wame nyanyua kikombe, jana siwalicheza na Evertone, mtani haya ndo madhara ya kuchukua kikombe mapema kwa points, inakufanya unapoteza ufuatiliaji... Ukishajuwa umeshinda tena ila nashukuru nkuna mdau katupia images za kunyanyua kikombe....Mechi ipi ya Chelsea mtani? Jana Chelsea walicheza na wakachezea kichapo.
Pole sana mtani,haya ingia studio ng'arisha jukwaa lipendeze[emoji23] [emoji23] [emoji23]Oh my God nimepoteza kumbukumbu kama vile nimetupia gongo, mtani ni jana bana ndiyo vijana wame nyanyua kikombe, jana siwalicheza na Evertone, mtani haya ndo madhara ya kuchukua kikombe mapema kwa points, inakufanya unapoteza ufuatiliaji... Ukishajuwa umeshinda tena ila nashukuru nkuna mdau katupia images za kunyanyua kikombe....
We finally here mtani, end of everything mtani, clubs nyingi zilitamani kufikia hapa ila mshindi ni mmoja,hongera zao na pia hongera kwa mashabiki piaPole sana mtani,haya ingia studio ng'arisha jukwaa lipendeze[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji35] [emoji35] [emoji35] mtani ndo Nini kutusema Timu kubwa ahhhhhh next season tutakupoteza tuna hasira[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumethubutu, tumejaribu, tumeweza tena kwa bajeti ndogo kabisa pamoja na vikwazo vya kukutana na clubs kubwa kwenye EPL wenye experience katika league mbalimbali lakini tuka overcomes HAMPERS na tukafikia UBINGWA , ukiweka dhana hii katika maisha yako kwenye kupambana kutafuta maisha bora na mazuri basi hakuna lakukushinda.... DARE TO MAKE IT HAPPEN
View attachment 345569
Hahahahahaha mtani hardworks pays off, nyie mtabaki na majina yenu makubwa ila vijana watabaki na ushindi, winning is all what matters to us my dia, vipi mna mikakati gani kwa msimu ujao mtani.... Usajili, format, new coach, new strategies...... Msipo jipanga tu tuta retain our trophy to us[emoji35] [emoji35] [emoji35] mtani ndo Nini kutusema Timu kubwa ahhhhhh next season tutakupoteza tuna hasira[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Day dream is aworse nightmare[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83], endelea kuota mchanaLeicester City ijitayarishe ku-beat Chelsea's record of finishing at 10th spot after winning the league in the previous season. Bye bye Leicester City.
Vipi matokeo ya leo? Mechi haijaisha?Day dream is aworse nightmare[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83], endelea kuota mchana