Leicester City, Special Thread

Man utd bingwa,leicester bado atamaliza nafasi si chini ya 8.
 
Day dream is aworse nightmare[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83], endelea kuota mchana

Mwaka jana walifungwa mechi 3 na timu 2, unadhani watarudia rekodi hii na wameshafungwa ya kwanza?
 
Kila jambo na majira yake, msimu huu leicester city haitashuka daraja, majira haya ushindani ni wa kufa kiumbe bado watashiriki ULC so tuna expect mengi injuries etc, nafasi katika top four vijana hawakosi, man united will be the dangerous team to face,
 
Hii kauli niliandika kwa hisia sana msimu uliopita, MAN UNITED wamelifanyia kazi wamerudi na mikakati mipya, kocha mpya, wachezaji hii ndiyo we so called FOOTBALL [emoji460] sio vilabu vyetu kama YANGA , SIMBA , MBEYA CITY nk vilabu vya tanzania banah, angalau AZAM wanajuwa nini maana ya kurudisha na kutengeneza faida kwenye football, go go go ma United, go go go leicester city
 
Leicester city ni fundisho kubwa kwenye mapambano ya kimaisha
Ranieri alishasema hili lililotokea msimu wa 2015/ 16 hujirudia kila baada ya miaka 20-28. Msimu huu wa 2016/ 17 ni wasindikizaji tu. Wenye karamu ni West Ham, Tottenham, Timu ya Malafyale (majogoo ya msituni), Arsenal na Chelsea.
 
poleni humu ndani kwa kichapo tulichowapa leo OT.
 
Na nyie washabiki upepo mmeanza lini kushabikia leiceister? mpigwe tu eeh hamna namna..in pinda voice
 
Wakae kibiashara na kukuza timu sasa
 
mabingwa watetezi, mbona kimnya kwenye uzi wenu poleni kwa kichapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…