Leicester City, Special Thread


Doooh!!!😱😱 gambler will always be a gambler, i will gamble one more time and go for £1.3B....
 

Patamu hapo Mimi sikubali mizigo ule pale wa £1.3B
 
Patamu hapo Mimi sikubali mizigo ule pale wa £1.3B
Jamaa akaze tu yan akichukua hyo £1.3B maisha yake na watt wake yamebadilika forever na hyo betting company kaifilisi hahaa
 
Jamaa akaze tu yan akichukua hyo £1.3B maisha yake na watt wake yamebadilika forever na hyo betting company kaifilisi hahaa
Achukue hiyo mia3 aachane nao. Spurs wanawatia presha ile mbaya. Mbio zimebaki kwa spurs na foxes....
 
Foxes wamezidi kujikita kilelwni baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya timu ngumu ya crystal palace. Shukrani kwa goli la Riyadh Mahrez. Hili ni goal lake la 16.

Huu ni ushindi wa 10 wakiwa ugenini. Hakuna timu hata moja inayoshiriki epl ambayo imeshinda game nyingi za ugenini kama leichester city.
 
Aume meno tu 9 games to go is too close to get a b na hiyo ndo maana halisi ya betting is to take a risk.
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki haki yake apewe! Hii timu inastahili hadhi ya kuwa na uzi maalumu. Karibuni wadau mtupie historia, mafanikio na habari zinazowahusu vinara wa EPL hapa.
 

Hawa ndo vijana wa kazi,zimebaki mechi chache tuwavalishe ubingwa
 
Tukutane msimu ujao
Teh teh mimi na deal na present time mkuu, kama unajipanga in future time u might end up losing again,maana clubs nyingi nazo zinajipanga kwa usajili wa makocha, wachezaji,kuwekeza kwenye strategies mpya kwahiyo hata leicester city pia msimu ujao wanajipanga kivingine vile vile mkuu,
 
Ghafla hii timu ina mashabiki wa kutosha. Isije ikawa majeruhi wa Arsenal na Chelsea.
 
Mbuyu nao ulianza kama mchicha katika process ya ukuaji........ Hakuna pressure na uwendeshaji wa club yetu
 
Matchday #free beers and burgers day @ king power stadium

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…