Yap morgan kafanya ykeTayari tuna lead 1-0 against Southampton
Kawaida kwa timu inayoleta changamoto na ushindani kupata mashabiki, kama wewe ni mfatiliaji mzuri wa mpira huwezi kuona ajabu.Leceister city imepata fanz na thread pia[emoji23] [emoji23] kweli wonders shall never end
Sent from my SGH-T999L using JamiiForums mobile app
Hahaha its our time to make on top, hizo big clubs zijipange tu kwa msimu ujao. [emoji28] [emoji28] [emoji28]Duh.....sijawahi iona hii Thread.....hawa jamaa mwaka huu wanachukua kombe.
Hawa mafala wamedhamiria mwaka huu.
Aseno utawajua tu kwa matamshi yao...Penati mbili za wazi na moja ni ya red card? Sio mechi ya kwanza refa anawabeba