Leicester city wamelogwa na Nani?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ni dk ya 74 uefa champions league,leicester wapo nyuma kwa goli 2-1 dhidi ya cevilla,nakumbuka week end iliyopita walifungwa na ki timu kidogo Millwall ktk Fa cup,tatizo nini?mabingwa hawa wanapigwa kila watiapo mguu kiwanjani?wacha tuone game itaishaje.
.bado 15 mins

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Hawajashinda ata mechi moja tangia tuuanze huu mwaka, nadhan leo wameamua na kuscore.
 
cevilla ni nani?
 
walibahatisha EPL. Aibu kweli yani timu inachukua ubingwa halaf msimu unaofuata inaelekea kushuka daraja
 
Jiko kubwa la chini, alikuwa anazungusha Kante! Tangia aondoke Leicester City hamna kitu!

Na kwa pale England sijui kuna namba sita gani mzuri kumpita yeye kwa sasa!

Kuna kipindi pia Real Madrid nao walimuuza Makelele, walikoma...walikuwa nyanya balaa!
 
Mimi siicheki Leicester Bali namcheka vardy aliyekataa pesa huku umri meenda kante alisoma alama za nyakati akasepa
 
walibahatisha EPL. Aibu kweli yani timu inachukua ubingwa halaf msimu unaofuata inaelekea kushuka daraja
hawakubahatisha bali wapinzani wao walikuwa wabovu,chelsea alitakakushuka daraja msimu uliopita tena akiwa bingwa mtetezi lakini mwaka huu pamoja na ubovu wake anaongoza ligi kwa zaidi ya point 8 nalo hili unaliongeleaje?
 
Mchawi ni Ranieri na katimuliwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…