technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
2 tuaseno mmekula ngapi///???
Labda "ubigwa",lakini ubingwa wasahau!Wana kocha bora, wanajituma wanacheza team work.
Waliopo juu yao mfano liverpool hawana bahati ya ubingwa, mancity hana consistance ya ushindi season hii
Natabiri Leicester Kuchukua Ubingwa Kwanza Hawapo Champions Ligue Wala Europe Ligue.