Leisista Siti mjue Mungu anawaona. Mmefukuzisha kazi Ranieri bure

Yawezekana au isiwezekane pia
 
Labda kocha mpya amekuja na motivation na nguvu na huenda Ranieri alipoteza hamasa

Mbona mou msimu wake wa 2 Chelsea alipoteza hamasa ila Conte amekuja tumeona spirit ya Chelsea ilivyokuwa kubwa
 
Arsenal ilitakiwa iwe na kocha mpya kesho kutwa bayern, a sio mwisho wa msimu
 
Kwa hali ilivyokuwa,ilikuwa ngumu kwa wenye timu kuendelea kuwa na Raniel..
 
Jamaa ulivyoandika Liverpool bwana pole najua Wenger weekend hii amekuumiza Moyo mfukuzeni tu na ilikuwa mle 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…