Leka Tukigite maana yake niniiii?

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada kuna nyimbo nyingi tuu hazina maana yoyote kama unataka kujua inamaana gani ungeanza na hizo nyimbo za waimbaji wengine ila wewe nimeona umetaka maana kwa kuwa ni Zitto msiwe na sera za kijinga kama hizi katika nchi ambayo inakabiliwa na mambo mengi ya msingi kuweza kujadiliwa.
 
Masikini bi wakubwa zenu,sijui wamekosa nini mpaka mje kuwashirikisha na mambo yenu,kisa tu nyimbo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…