Lekchara Ofisini

Lekchara Ofisini

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Huyu hata JF haioni....unategema nini mafundisho yake kwa wanafunzi wake.Sana sana atawakaririsha vitabu vya zama na zama.
attachment.php


Anasema
Kwa walio wengi internet ni kwa ajili ya kutumiana ujumbe wa kirafiki, kuangalia picha za pono, hali kadhalika simu ni kusalimiana tu. Wachache sana wanaotumia mawasiliano kujiendeleza kielimu, kutafuta maarifa na au kupata habari za masoko na biashara

Muonekano wa ofisi tu ni choka mbaya.....
 

Attachments

  • HPIM0452.JPG
    HPIM0452.JPG
    108.1 KB · Views: 117
Picha haionekani anyway so the message is BUBU kind of.
 
Kazi kweli kweli. Hata dalili za ka-desk top ka kizamani hakuna sasa hiyo net itakuwaje? Lecturers wetu inabidi wabadilike na kuendana na utandawazi unless otherwise tutaendelea kuwa wasindikizaji tu!
 
Back
Top Bottom