Kwa walio wengi internet ni kwa ajili ya kutumiana ujumbe wa kirafiki, kuangalia picha za pono, hali kadhalika simu ni kusalimiana tu. Wachache sana wanaotumia mawasiliano kujiendeleza kielimu, kutafuta maarifa na au kupata habari za masoko na biashara