Lema amjibu Wenje kuhusu Join The Chain Asema ni muongo

Lema amjibu Wenje kuhusu Join The Chain Asema ni muongo

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Fikiria anakuja mtu anayetaka kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Ezekia Wenje huyo maana yake ni kwamba Mwenyekiti akiwa hayupo huyo ndiye anakuwa Mwenyekiti wa chama taifa.

Taswira ya mtu muongomuongo hivi, anayebebwabebwa na watu wengine kama kina Abdul..kimsingi ndiyo maana nilisema hastahili kuwa mwanachama wa chama hiki kama chama hiki kinaamini kwenye maadili na miiko. Kwasababu suala la msingi katika nchi siyo chama cha upinzani kushika madaraka, kinashika madaraka na watu wa thamani ya aina gani.

Soma Pia:
Kwamba hawa watu wakishika madaraka wanaweza kugeuza fikra za nchi? Kwasababu hata mkishika madaraka na chama cha upinzani, kama fikra zao hazijafanyiwa mageuzi matokeo mtakayopata yanaweza yakawa mabaya kuliko matokeo mnayopata sasa kutoka chama tawala"- Lema.
 
Uchaguzi wa Chadema hakika una mvuto wa kipekee!!!! Kitendawili ni kitakachofuata baada ya uchaguzi!!!
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Uchaguzi wa Chadema hakika una mvuto wa kipekee!!!! Kitendawili ni kitakachofuata baada ya uchaguzi!!!
Una mvuto au karaha!!? Ni kama watoto wa darasa la kwanza au chekechea.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Lema atuwekee hapa jinsi fedha za join the chaini zilivyotumika hadi senti ya mwisho vinginevyo azirudishe ili zijenge chama
 
  • Dislike
Reactions: G4N
Picha ya Abdul tafadhari, tumjue
Nasibu "Abdul" aka sheikh Mansour
1000020564.jpg
 
Back
Top Bottom