Mimi sijui ,huwa sipendi speculationsmchezo huu hautaki hasira, kwani nani asiyejua Lema alikimbia nchi kwa sababu zipi?
Anaunga unga stori aje kuuza kitabu jasusiYerriko Nyerere anasemaje.....
Ulikusudia kusema...u know nothing?Acha ujinga ww kujidai unajua while u don know nothing!! Lema ilibidi akimbie ili kuokoa uhai wake dhidi ya wadhalimu, lkn yeye akabaki wadhalimu wakaaga kwaheri!!
Eti speculations 🤣🤣🤣jinga kbs yaan unajitoa akil kua huelew mlikua mnataka kuwafanya nn LISSU na Lema na wengine waliokua kero kwenu awamu yenu!!Mimi sijui ,huwa sipendi speculations
USSR
U don know nothing!! That's itUlikusudia kusema...u know nothing?
Mtabaki na propaganda zenu lkn ukwel upo waz, mhaini au msaliti in reality hata mfumo wote wa utawala wa Nchi hauwez mkubali! But wapo njema wanarud na afya tele baada ya udhalimu kuondoka nchini!!Msaliti wa Nchi
Hamna jasusi mzee boss, nenda shule ukasome propaganda upya.George Wajackoya ni Jasusi ambalo limeajiriwa na shirika la ujasusi la Kenya, Kuna msemo kwamba jasusi hastaafu. Jasusi huyu ndiye alihusika na "mission" nzima ya kumtorosha Lemma Tanzania, akamuweka Nairobi katika makazi ya Siri, na Sasa ameingia Tanzania kumpokea.
Lemma ni agent wa shirika la ujasusi la Kenya? Wana mikataba ipi na shirika Hilo? Je Lina mkataba na Chadema? Chadema Kila wanapofanya vurugu wakaumia, Kuna taarifa kwamba huwa wanachukuliwa kwa Siri kwenda kutibiwa Kenya, Mdude na Mbowe ni wafaidika wa matibabu.
Kunani kati ya hiki chama na intelligence ya Kenya?
Ngoja inyeshe tujue panapovuja.
View attachment 2532262
Mwendazake alikuwa anadhalilisha na kuua watu, as a results watu waliamua kumkimbia nchi kuokoa maisha yao, nani asiyelijua hili