Lema aseme ukweli alipataje Ukimbizi Canada vinginevyo Zitto Kabwe ataaminika kuwa alinunuliwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari.

Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi.

Wednesday, Ubarikiwe sana!
 
Yaani unaamka asubuhi unawaza namna wenzako wanavyopambania matumbo yao.
 
Tatizo lenu mnabeba hbr toka vijiweni, Lema ameongea wazi hata jana akihojiwa DW mission yote ya kutaka kuwekwa gerezan ya LISSU kuuwawa, alipigwa maswal ya kutosha! Kama mngekua watu wa kutafuta uhalisia mngekua smart san, tatizo lenu mboga mboga mnapenda san umbeaumbea na vijihabar vya siasa za liquid shit!!
 
Walikuwa wanakamatwa sababu waliandaa kitu wakikiita UKUTA, kwa maana walikuwa wanaandaa kufanya nchi isitawalike baada ya uchaguzi!

Na ndio Magufuli akaamuru UKUTA uvunjwe ili mambo yasonge mbele na wananchi waendelee na maisha yao huku serikali ikijenga nchi.

Wote hao walikuwa wanakamatwa kama consequence za maandalizi ya UKUTA.

Iweje Lema atafutwe kuuwawa na Mbowe aachwe wakati yeye ndie kichwa ya Chadema?

Acheni kutufanya watanzania wote ni vilaza!
Endeleeni na hao vilaza wenu Ufipa!
 
😃
 
Hakuna kitu kibaya kwa mwanadam ambae..Hajui kama hajui!!! Endelea kujifunza mamb ya nchi taratibu jins yanavyokwenda ipo cku utaanza kuelewa. But kwasasa wee bado san!!
 
Tatizo lenu mnabeba hbr toka vijiweni, Lema ameongea wazi hata jana akihojiwa DW mission yote ya kutaka kuwekwa gerezan ya LISSU kuuwawa, alipigwa maswal ya kutosha! Kama mngekua watu wa kutafuta uhalisia mngekua smart san, tatizo lenu mboga mboga mnapenda san umbeaumbea na vijihabar vya siasa za liquid shit!!
Mkuu aliyesema kuwa Lema alipewa ofa ya ukimbizi ni Zitto wala si mtoa mada na watu wanauliza Lema alikuwa ni tishio kwa nani? Alikuwa anatishwa na nani? Kusema ukweli kupata kwake ukimbizi kunazua maswali mengi sana na ndio maana watu wanaamini hoja ya zitto
 
huo ndo ukweli wenyewe tuweke siasa kando.hata mm sijawahi sikia kuwa lema alitishiwa na mtu yeyote ila nilishtuka nilivyoona naye katimka.halafu hata kurudi kwake kunatia mashaka kwa nn familia yake kaiacha huko canada.tuwe makini sana na wanasiasa na aina hiyo ni hatari kwa usalama wetu.
 
Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari.

Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi.

Wednesday, Ubarikiwe sana!
Hata LEMA akiamua kunyamaa, hakuna mtanzania timamu anaweza amini maneno ya Zittow.
 
Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari.

Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi.

Wednesday, Ubarikiwe sana!
Ninachelea kusema kuwa labda Zitto anaweza akamsingizia kitu, angalau mtu ambaye ni rival wake mkubwa kisiasa; ila hawezi kumsingizia kitu mtu ambaye anaonekana ni swahiba wake.
 
huo ndo ukweli wenyewe tuweke siasa kando.hata mm sijawahi sikia kuwa lema alitishiwa na mtu yeyote ila nilishtuka nilivyoona naye katimka.halafu hata kurudi kwake kunatia mashaka kwa nn familia yake kaiacha huko canada.tuwe makini sana na wanasiasa na aina hiyo ni hatari kwa usalama wetu.
Atarudi tu ndo maana ameicha familia so yupo mguu pande mguu sawa
 
Mkuu aliyesema kuwa Lema alipewa ofa ya ukimbizi ni Zitto wala si mtoa mada na watu wanauliza Lema alikuwa ni tishio kwa nani? Alikuwa anatishwa na nani? Kusema ukweli kupata kwake ukimbizi kunazua maswali mengi sana na ndio maana watu wanaamini hoja ya zitto
Tuliaa!! Tafuta mahojiano ya jana kati ya DW na Lema alisema kila kitu juu ya yeye mpaka kuamua kukimbia Nchi!!! Maswal huzuka kwa wale wanaotafuta hbr vijiweni na kwa watu aina ya zito!!
 
Back
Top Bottom