Mpuuzi mkubwa huyu mwizi wa magari
Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake
SOME COMMENTS FROM LEMAS TWEET
1. Njia nzuri ya kumuaga &kutambua mchango wa
Mbowe napendekeza kina lema&wenzake watubu hadharani kwamba tuhuma walizompakazia FAM zilkuwa porojo.Wengi tunaamin Mbowe aljtoa kwa hali &mali kuijenga CDM,porojo za uchaguzi mbali na FAM wengi zmetuachia majeraha &maumivu
2. Mbowe anahitaji gari kweli? Haya ni mawazo ya kimaskini. Unitukane, useme mimi nimeuza chama kwa CCM, udhalilishe familia yangu halafu unipe gari?
3. , kama ngauti yangu anahitaji gari - which he does not, nitamtunuku. Mpeni heshima yake tu.
Mwenyekiti Freeman Mbowe haitaji zawadi ya gari ili kuonyesha kwamba wanamjali na kutambua mchango wake. Zawadi kubwa na ya heshima walitakiwa kuchunga kauli zao kipindi chote Cha uchaguzi ili kutovunja heshima yake. Kauli za kashfa kuhusu Rushwa haziwezi kufutwa kwa kununua gari
x.com
4. Njia ambayo inaweza ikafanya mkalala usingizi angalau ni kutoka na kutaja mambo ambayo mlimsinginzia ili mchukue nafasi yake.
5. kama hili kweli lilikuwa pendekezo lako, niseme tu binafsi siliungi mkono na fedha hizo zipelekwe kutekeleza mikakati ya chama majimboni na harakati za chama.Kwasababu hajasitafu kwa hiari, ameshindwa uchaguzi. Historia iandike hivyo.
6. njooni huku mkutane na kituko cha Land Cruzer anayotaka kununuliwa Mwenyekiti kama zawadi! Hivi siku hizi magari yamekuwa ndio kila kitu?
7. Hawa ndiyo viongozi wa Chadema, kweli!!?Hivi kumuenzi Mbowe, mwenye legacy ya demokrasia,majadiliano na kupingana kwa hoja, nyinyi ambao hata kazi hamna, wabangaizaji, mmefanya wafuasi wenu ndiyo mtaji!?Mlimtukana FAM kila aina ya tusi,hamkuwazia yapo maisha baada ya siasa!?