the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Mpuuzi mkubwa huyu mwizi wa magariMjumbe wa kamati kuu Godbless Lema baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa X akitaka Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema Freeman Mbowe aagwe kwa kununuliwa gari, baadae alifuta tweet hiyo na kueleza kuwa jambo hilo linapaswa kwanza kujadiliwa katika vikao kwanza.
View attachment 3214840
Soma: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Gari mpya kwa Mstaafu, wakati Mwenyekiti anatumia gari Ina matundu ya risasi.Mjumbe wa kamati kuu Godbless Lema baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa X akitaka Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema Freeman Mbowe aagwe kwa kununuliwa gari, baadae alifuta tweet hiyo na kueleza kuwa jambo hilo linapaswa kwanza kujadiliwa katika vikao kwanza.
View attachment 3214840
Soma: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Nasikia zilifika million 120 akazikataa anasema anataka gari ya hadhi ya million 150.Kwani michango ya lile la Lisu imefikia ngapi?
Hapo alikuwa anatengeneza dili avune hela, na pia apige udalali wa kulitafuta gari apate asilimia 10Mzee wa michango join the chain!
Katoa ufafanuzi unaoeleweka tofauti na ule wa Chalamila na majibu yake ya kifedhuli kwa mama mja mzitoMjumbe wa kamati kuu Godbless Lema baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa X akitaka Mwenyekiti mstaafu na mjumbe wa kamati kuu chadema Freeman Mbowe aagwe kwa kununuliwa gari, baadae alifuta tweet hiyo na kueleza kuwa jambo hilo linapaswa kwanza kujadiliwa katika vikao kwanza.
View attachment 3214840
Soma: Lema: Tumuage M/kiti Mstaafu Mbowe kwa heshima, tumtafutie gari
Dr. Lillian punguza povu utapata sonona bure,mbona Mr. mwenyewe amekubali yaishe?Mpuuzi mkubwa huyu mwizi wa magari
Wanajikomba baada ya kumdhalilisha na kuutweza utu wake
SOME COMMENTS FROM LEMAS TWEET
1. Njia nzuri ya kumuaga &kutambua mchango wa Mbowe napendekeza kina lema&wenzake watubu hadharani kwamba tuhuma walizompakazia FAM zilkuwa porojo.Wengi tunaamin Mbowe aljtoa kwa hali &mali kuijenga CDM,porojo za uchaguzi mbali na FAM wengi zmetuachia majeraha &maumivu
2. Mbowe anahitaji gari kweli? Haya ni mawazo ya kimaskini. Unitukane, useme mimi nimeuza chama kwa CCM, udhalilishe familia yangu halafu unipe gari?
3. , kama ngauti yangu anahitaji gari - which he does not, nitamtunuku. Mpeni heshima yake tu.
Mwenyekiti Freeman Mbowe haitaji zawadi ya gari ili kuonyesha kwamba wanamjali na kutambua mchango wake. Zawadi kubwa na ya heshima walitakiwa kuchunga kauli zao kipindi chote Cha uchaguzi ili kutovunja heshima yake. Kauli za kashfa kuhusu Rushwa haziwezi kufutwa kwa kununua gari
x.com
4. Njia ambayo inaweza ikafanya mkalala usingizi angalau ni kutoka na kutaja mambo ambayo mlimsinginzia ili mchukue nafasi yake.
5. kama hili kweli lilikuwa pendekezo lako, niseme tu binafsi siliungi mkono na fedha hizo zipelekwe kutekeleza mikakati ya chama majimboni na harakati za chama.Kwasababu hajasitafu kwa hiari, ameshindwa uchaguzi. Historia iandike hivyo.
6. njooni huku mkutane na kituko cha Land Cruzer anayotaka kununuliwa Mwenyekiti kama zawadi! Hivi siku hizi magari yamekuwa ndio kila kitu?
7. Hawa ndiyo viongozi wa Chadema, kweli!!?Hivi kumuenzi Mbowe, mwenye legacy ya demokrasia,majadiliano na kupingana kwa hoja, nyinyi ambao hata kazi hamna, wabangaizaji, mmefanya wafuasi wenu ndiyo mtaji!?Mlimtukana FAM kila aina ya tusi,hamkuwazia yapo maisha baada ya siasa!?
magu aliwahi kupewa jogoo,samia mbuzi wote hao walikuwa na uwezo sasa sembuse gariMbowe alishajaza mfuko wake, gari la nini?
Duh nimecheka sana😂Mnunulieni alalifanye kama lile la Godwin.
Lisu hana mawazo duni kama yakoNasikia zilifika million 120 akazikataa anasema anataka gari ya hadhi ya million 150.