Lema awa Makamu Rais wa kampuni ya Canada barani Afrika, aleta mradi wa gari solar zinazopaa Tanzania

Lema awa Makamu Rais wa kampuni ya Canada barani Afrika, aleta mradi wa gari solar zinazopaa Tanzania

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc ametoa scholarship kwa ajili ya watanzania kujifunza kuongoza gari solar zinazopaa.

Pia Makamu Lema amewaalika wadau kushiriki kuokoa maisha Afrika ambapo kwa Tanzania 70% bado vijijini kusikuwa miundombinu thabiti.

=======

Solar-powered airships could be the perfect means of transportation in isolated parts of Africa with poor road infrastructure, Solar Ship Vice President of Africa Markets Godbless Lema said.

As part of its efforts to provide air transportation services in remote rural areas, the Canadian company Solar Ship Inc. has announced that it will establish a scholarship to support the training of operators in Tanzania on how to operate solar airships.

According to Mr Lema, the $1 million (Sh2.3 billion) fund will help prepare a qualified cadre of airship flight operators who will help lower death rates caused by long distances between villages and medical facilities.

Mr Lema, a Tanzanian politician who has been living in exile in the North American country since December 2020, is set to return home soon.

About 70% of Tanzania is rural and usually cut off from the basic infrastructure network, he noted.

“That is why I am announcing the creation of a scholarship fund and inviting Arctic partners to work with African communities to save lives, protect ecosystems, and shift to a sustainable electric economy,” he remarked.

Credit: Citizen

Screenshots_2023-02-17-17-51-40.png
 
Mbana huko Canada hawajaanza kuzitumia.Wanakuja kufanyia majaribio huku kwetu. Pamoja na hivyo kuwa na meli zinazopaa angani ni jambo jema.
Nahofia mamlaka ya viwanja vya ndege na usafiri wa anga wataziwekea vikwazo mapema na kuzusha hoja chungu nzima mpaka Lema atachoka
Nafikiria ureda na raha itakavyokuwa wakati wa jioni nikipaa kuelekea nyumbani Mbagala.
 
Mobana huko Canada hawajaanza kuzitumia.Wanakuja kufanyia majaribio huku kwetu. Pamoja na hivyo kuwa na meli zinazopaa angani ni jambo jema.
Nahofia mamlaka ya viwanja vya ndege na usafiri wa anga wataziwekea vikwazo mapema na kuzusha hoja chungu nzima mpaka Lema atachoka
CCM hatutakubali kuweka maisha ya watanzania rehani

USSR
 
screenshots_2023-02-17-17-51-40-png.2520557

Zikipatikana 20 Dar es salaam pamoja na mwendokasi tatizo letu litaisha. Watu nadhani watajazana huko juu.Itabidi waweke na vidirisha vidogo vya kuchungulia walio chini.
 
Lema ni mabaki ya ukoo wa Mzee Alinacha, alikuwa Mzee maarufu, akisimuliwa katika vitabu mbalimbali vya hadithi
 
Hii kitu ni haiwezekani kutokea kwa mwanasiasa mpinzani wa kibongona hata akiwa wa ccm je, huo mradi umepitia kwa wakubwa kwanza kujua zile 00000?.
 
CCM hatutakubali kuweka maisha ya watanzania rehani

USSR
Tanzania ni nchi ya majaribio sana, sasa kama walimweka mtu kama Jiwe kwenye nafasi nyeti nini kinashindikana
 
Chura amepigwa teke.

Hongera Lema. Hizi zitatusaidia sana kuondokana na matuta yaliyojaa kwenye barabara zetu kila eneo.
 
Lema ametoa scholarship kwa ajili ya watanzania kujifunza kuongoza gari solar zinazopaa, naamini huu ndio mradi wenyewe, lakini hajaleta hayo magari ya solar yanayopaa ili yaanze kutumika Tanzania, hili haliwezekani kwa sasa, kwasababu hata hao wataalamu wakuyaongoza hatuna, ndio maana kwanza anatoa scholarship za mafunzo.
 
Back
Top Bottom