sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Siasa za Bongo ni ngumu sana, Moja ya watu ambao Mh Mbowe aliwapenda sana ni Mh Lema hata kimpakia kwenye Elikopita kwenye ziara mbali mbali za kukijenga chama.
Mh Mbowe kwa mapenzi yake alikuwa akimwanda Lema kwa kumjulisha mara kwa mara yakuwa amechoka anaitaji kupumzika lakini lakini Lema hakuelewa jambo lolote maana ni kichwa maji hakuelewa msingi wa kauli zile za Mh Mbowe.
Ilifkia hatua vijana kama akina Lema heche na wengine wakajiona hakuwa wao ni miungu watu katika Kanda wakasau yakuwa hata wao waliandaliwa swali linakuja nani aliandaliwa na watu hao kama wao walivyoandaliwa na chadema katika majimbo Yao au Kanda zao?
Katika Hali ya kawaida kwa Nini Peter msigwa hakuwa tyari kuwa CHINI Sugu?kwamba msigwa Miaka yote atawale yeye TU Sugu asubiri mpk kifo cha msigwa?
Uchaguzi wa Kanda ya kasikazinin. Lema hakupiga hata kura alikimbilia Canada kwa mkewe hii Ina mama Gani?
Tatzo liliopo Hawa vijana hawakuwa tyr kuachia kanda walijiona miungu watu
Nampongeza Lissu aliandaa wanahaarakati wenzake wakina mwabukusi, na Maria sarungi ila sidhani kama their so potentiality kwa taifa Ili maana dunia ya makelele inaelekea kupigwa CHINI twende na utulivu wa akili, mijadara n mengineyo
All the Best Team MWAMBA washenteni kupitia boksi la kura na sio kujitoa kama wanavyotaka akina Lema na wenzake.